Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA TAASISI YA PASIANSI KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025

TAARIFA KWA UMMA
i). Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE), Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (TCWLE), Astashahada ya Awali ya Uongozaji Watalii na Usalama (BTCTGTS), Astashahada ya Uongozaji Watalii na Usalama (TCTGTS) kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
ii). Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 08 Oktoba hadi 10 Oktoba 2024 kwa mafunzo ya awali ya kupima utimamu wa mwili na afya. Aliyechaguliwa anawajibika kufika chuoni kuchukua fomu ya kujiunga na chuo (joining instruction) na fomu ya vipimo vya afya kuanzia tarehe 07 August 2024 au aipakue kwenye tovuti ya Taasisi www.pasiansiwildlife.ac.tz.
 Ada zitalipwali kupitia ‘Control number’ utakayopewa na Taasisi mawasiliano zaidi angalia Tangazo. Muhimu fika kwa wakati.

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA TAASISI YA PASIANSI KWA MWAKA MASOMO 2024/2025

 

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU YA KUJIUNGA KOZI YA TCWLE 2024

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU YA KUJIUNGA KOZI YA BTCWLE 2024

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA KOZI YA TCTGTS 2024

 

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU YA KUJIUNGA NA KOZI YA BTCTGTS 2024

VIFAA NA BEI KATIKA DUKA LA CHUO PASIANSI

 

Imetolewa na;

Mkuu wa Taasisi

07 Agosti 2024