Habari
TANGAZO LA UDAHILI WA SEPTEMBER 2025/2026 KATIKA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza anapenda kuwatangazia umma kuwa fomu za maombi ya kujiunga na kozi za mafunzo za
1. Uhifadhi wa Wanyamapori na Himasheria
2.Kuongoza watalii na usalama wa watali
Katika ngazi za Astashahada ya Awali(Basic Technician Certificate),Astashahada(Technician Certificate) na Stashahada(Diploma).
Kwa muhula wa masomo 2025/2026 zimeanza kutolewa kuanzia tarehe 28/05/2025 hadi 20/07/2025.
Tunasisitiza Fomu zijazwe kwa usahihi na kwa kuweka namba ya simu inayopatikana muda wote.
BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA MAOMBI
Imetolewa na
Mkuu wa Taasisi
28/05/2025