Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Dira na Dhima

Dira; kuwa kituo bora cha kutoa mafunzo ya Hima   Sheria ya Wanyamapori.

 

Dhima; Kutoa uangalizi bora wa hifadhi kwa ajili ya kulinda rasilimali za Wanyamapori kwa kupitia mafunzo ya kijeshi, uhifadhi wa wanyamapori na Utalii, utekelezaji wa sheria na mafunzo ya ulinzi pamoja utafiti na huduma za utekelezaji.