TCWLE
Kozi ya Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria ni ya mwaka mmoja na imeandaliwa kwa ajili ya kufundisha wahitimu wa Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria na vijana waliomaliza kidato cha sita. Wahitimu wanaandaliwa kuwa viongozi wa Askari wanyamapori wakati wa kutekeleza majukumu ya kawaida ya kila siku. Maeneo wanayoandaliwa kufanya kazi ni katika Taasisi za Serikali, Mashirika Binafsi, Jumuiya za Hifadhi za Vijiji, Makampuni ya Uhifadhi na Uwindaji na Mashirika ya Kimataifa. Mafunzo haya yatamuwezesha mhitimu kufanya kazi za kawaida za kila siku na zingine za ziada katika Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria. Wahitimu wanaandaliwa kufanya kazi pamoja na; kuongoza vikundi vya ulinzi na doria katika maeneo ya hifadhi na nje ya hifadhi, kukusanya taarifa mbalimbali za kiikolojia na zinazohusu wanyamapori, na shughuli zingine za kawaida na ziada zitakazotolewa na viongozi sehemu za kazi.
This one-year course began on November and ends onSeptember next year. It covers the following modules: -
Code |
Module Title |
Semester |
|
1 |
2 |
||
WLT 05101 |
Wildlife Intelligence and Crime Investigation |
√ |
|
WLT 05202 |
Wildlife Conservation Laws and Policies |
|
√ |
WLT 05203 |
Anti-Poaching Patrols and Wilderness Navigation |
|
√ |
WLT 05204 |
Leadership in Patrol Operations |
|
√ |
WLT 05105 |
Principles of Paramilitary Techniques |
√ |
|
WLT 05106 |
Ballistics |
√ |
|
WLT 05107 |
First Aid and Rapid Response |
√ |
|
WLT 05108 |
Mammalogy and Ornithology |
√ |
|
WLT 05109 |
Invertebrates, Herps and Fishes |
√ |
|
WLT 05110 |
Botany |
√ |
|
WLT 05211 |
Principles of Wildlife Management and Ecology |
|
√ |
WLT 05212 |
Wildlife Utilization and Community Based Conservation |
|
√ |
WLT 05113 |
Computer and Communication Skills |
√ |
|
WLT 05214 |
Wildlife Entrepreneurship and Life Skills |
|
√ |