Habari
TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO KWA MARCH INTAKE 2025/2026 KATIKA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha kuwa majina ya waliochaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) katika udahili wa Machi 2025 kwa mwaka wa masomo 2025/2026 yametoka. Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti Jumatatu tarehe 7 Aprili 2025 hadi tarehe 9 Aprili 2025.
KUPAKUA FOMU YA KUJIUNGA BONYEZA HAPA
KUPAKUA CONTROL NUMBER KULIPIA ADA BONYEZA HAPA
KUPATA BEI YA VIFAA KWA MAFUNZO KATIKA DUKA LA TAASISI BONYEZA HAPA
Imetolewa na
Mkuu wa Taasisi