Majukumu ya Taasisi
Majukumu ya Taasisi
- Kuwezesha mafunzo kwa vitendo katika misingi ya usimamizi endelevu wa maliasili, tamaduni na utalii
- Kufundisha maadili na nidhamu ya Jeshi la Uhifadhi
- Kuandaa mitaala inayozingatia mahitaji ya wadau
- Kutoa huduma za ushauri elekezi kwa umma