Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KATIKA UDAHILI WA SEPTEMBA KUJIUNGA NA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI MWAKA WA MASOMO 2025/2026

i). Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza anapenda kuujulisha umma kuwa majina ya waliochaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE), Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (TCWLE), Astashahada ya Awali ya Uongozaji Watalii na Usalama (BTCTGTS), Astashahada ya Uongozaji Watalii na Usalama (TCTGTS) kwa mwaka wa masomo 2025/2026  yametoka.
ii). Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 30 Oktoba 2025 hadi tarehe  05 November 2025.

BONYEZA HAPA KUPAKUA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NA KUPATA CONTROL NUMBER ZA MALIPO

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA KUJIUNGA NA FOMU YA VIPIMO VYA  AFYA (BTCTGTS)

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA KUJIUNGA NA FOMU YA VIPIMO VYA AFYA (BTCWLE)

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA KUJIUNGA NA FOMU YA VIPIMO VYA AFYA (TCTGTS)

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA KUJIUNGA NA FOMU YA VIPIMO VYA AFYA (TCWLE)

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA BEI YA VIFAA KATIKA DUKA LA TAASISI

Imetolewa na                                            

                                                                                                 Mkuu wa Taasisi

                                                                                                     27/08/2025