Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Malazi na Chakula

Chakula

Kutokana mafunzo kuendeshwa kwa mfumo wa Jeshi-Usu wanachuo hupatiwa chakula kinachoendana na mafunzo hivyo kuna ratiba ya chakula inayofuatawa na kuna Kamati ya Chakula ya Wanachuo wanaosimamia masuala yote yanayohusiana na Chakula kuanzia usafi, usalama, aina ya chakula na muda wa kupewa chakula.

Malazi

Wanachuo wote hutakiwa kuishi Chuoni ilikuendana na ratiba ya mafunzo na kupata chakula stahili kuendana na mafunzo yanayotelewa, mfano huwa kuna mbio za kila siku asubuhi saa 11 alfajiri.