Habari
ORODHA YA CONTROL NUMBER KWA AJIRI YA MALIPO YA ADA KWA MUHULA WA MASOMO 2025/2026.
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza anapenda kuujulisha umma kuwa control number kwa ajiri ya malipo ya ada kwa waliochaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE), Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (TCWLE), Astashahada ya Awali ya Uongozaji Watalii na Usalama (BTCTGTS), Astashahada ya Uongozaji Watalii na Usalama (TCTGTS) kwa mwaka wa masomo 2025/2026 zimetolewa.
Msisitizo mkubwa unatolewa kwa wazazi na walezi kuhakikisha ada inalipwa.
BONYEZA HAPA KUPAKUA CONTROL NUMBER KWA AJIRI YA MALIPO YA ADA
Imetolewa na
Mkuu wa Taasisi
10/11/2025