Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO KATIKA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI INTAKE SEPTEMBER 2026

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO KWA MWAKA 2026/2027 SEPTEMBER INTAKE 

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anawataarifu wote wenye sifa na wanaotaka kujiunga na Taasisi, dirisha la maombi limefunguliwa rasmi tarehe 28 Mei 2026 na litafungwa tarehe 07 Julai 2026.

Waombaji wa sifa wataomba kupitia mtandao na wale wanaotaka kujiendeleza na walisoma 2015 kurudi nyuma watatakiwa kujaza fomu.

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LENYE KOZI, SIFA, ADA NA NAMNA KUTUMA MAOMBI

BONYEZA HAPA KWA KUJISALI NA KUFANYA MAOMBI

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU KWA WALIOSOMA 2014 KURUDI NYUMA NA WANATAKA KUENDELEA

Imetolewa na;

Mkuu wa Taasisi

01 Juni 2026

slot gacor