Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO KATIKA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI KWA MWAKA 2024/2025

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza anapenda kuutangazia umma kuwa fomu za kujiunga na kozi za mwaka mmoja za Askari Wanyamapori na Himasheria, na Kuongoza Watalii kwa mwaka wa masomo 2023/2024 zimeanza kutolewa kuanzia tarehe 20 Mei 2024 hadi 01 Julai 2024.

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA TAASISI YA PASIANSI 2024/2025

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA TAASISI 2024/2025

Imetolewa na

      Mkuu wa Taasisi

17 Mei 2024