Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
MATOKEO YA AWALI YA MUHULA WA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, anapenda kuwatangazia matokeo ya awali ya muhula wa kwanza kwa kozi zote zinazotolewa na Taasisi kwa mwaka huu masomo 2022/2023. Hivyo kwa wale wote ambao wanachangamoto katika matokeo yao wanatakiwa kufika Chuoni kuanzia tarehe 25/03/2023 kwa ajili ya kutatua changamoto zao.

BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO YA AWALI YA KOZI YA TCWLE 14

BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO YA KOZI YA BTCWLE 58

BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO YA KOZI YA TCTGTS 03

BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO YA KOZI YA BTCTGTS 03

             Imetolewa na

Mkuu wa Taasisi,

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi.

24/03/2023