Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Matukio
MAHAFALI YA 57 YA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI - 2022
  • 11th Sep, 2022
  • Pasiansi
  • 08:00AM-02:00PM

TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI - MWANZA ILIFANYA MAHAFALI YA 57 KWA MWAKA WA MASOMO 2021/2022 KWA WAHITIMU WA KOZI ZA ASTASHAHADA NA ASTASHAHADA YA AWALI KWA KOZI ZA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NA HIMA SHERIA NA KWA KOZI YA KUONGOZA WATALII NA USALAMA KWA WATALII ILIYOFANYIKA TAREHE 11/09/2022 KATIKA UWANJA WA TAASISI HIYO, MGENI RASMI ALIKUWA  KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII PROF. ELIAMANI SEDOYEKA