Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI 2023/24

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza anapenda kuutangazia umma kuwa fomu za kujiunga na kozi za mwaka mmoja za Askari Wanyamapori na Himasheria, na Kuongoza Watalii kwa mwaka wa masomo 2023/2024 zimeanza kutolewa kuanzia tarehe 25 Mei 2023 hadi 20 Julai 2023.

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA TAASISI YA PASIANSI 2023/2024

BONYEZA HAPA KUPATA FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA TAASISI 2023/2024

Imetolewa na

Mkuu wa Taasisi

25 Mei 2023