Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
MHE.MARY MASANJA AWATAKA WANANCHI KUTII SHERIA ZA UHIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akijibu maswali bungeni leo jijini Dodoma ambapo amewataka wananchii kutii sheria.