Habari
TANGAZO LA KUSITISHWA KWA UDAHILI WA MACHI 2026
TAARIFA KWA UMMA
Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi (PWTI) inawajulisha waombaji wa mafunzo kwa udahili Machi 2026 umesitishwa kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wa Taasisi. Hivyo, waombaji wote waliowasilisha maombi yao yatahamishiwa kwenye udahili wa Septemba 2026.
Uongozi wa Taasisi unaomba radhi kwa changamoto hii iliyojitokeza.
Imetolewa na.
Mkuu wa Taasisi
23 Machi, 2026