• +255 (0)28 256 0333
Pasiansi Wildlife Training Institute (PWTI)
Year Descriptions View / Download
Nov, 2016 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO YA KOZI FUPI NAMBA 1 KWA MWAKA 2016/2017
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi Fupi ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (SCWLE) kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 05 Novemba 2016. Fomu za maelekezo ya kujiunga zitatolewa kwa wale waliochaguliwa.
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_SHORT_COURSE_SEPT_2016