Habari
TANGAZO LA NAFASI 100 ZA KAZI ZA ULINZI (SECURITY GUARDS ) - PASCO

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (SECURITY GUARDS) 100 Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi – Mwanza imeanzisha Kampuni binafsi ya Ulinzi yenye namba ya usajili 143836754. Majukumu makuu ya kampuni hii ni kufanya kazi ya ulinzi katika Hoteli, Loji, Kambi za Utalii na Ofisi za Serikali na maeneo binafsi
BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA NAFASI 100 ZA KAZI YA ULINZI