Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO MWEZI MACHI 2024

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO MWEZI MACHI 2024

Mkuu wa Taasisi anawakaribisha wenye sifa kuomba kujiunga katika Kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria NTA 4 (Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement)  kwa muhula wa Machi 2024

Imetolewa na

 

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA MACHI 2024

KUPATA FOMU YA KUJIUNGA PAKUA HAPA

Mkuu wa Taasisi

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

18 Januari 2024