Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI 2022/23

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza inapenda kuwataarifu umma kwa mwaka wa masomo 2022/2023 itaanza kutoa na kupokea fomu za maombi kwa kozi za 1.Uhifadhi wa Wanyamapori na Hima Sheria (Wildlife Management and Law Enforcement) kwa Ngazi za Astashahada(Technician Certificate NTA L5) na Astashahada ya Awali (Basic Technician Certificate NTA L4) na 2. Usimamizi wa Watalii na Usalama wa Watalii (Tour Guide and Tourism Safety) kwa Ngazi za Astashahada(Technician Certificate NTA L5) na Astashahada ya Awali (Basic Technician Certificate NTA L4) zoezi hili litafanyika kuanzia tarehe 20/05/2022 hadi tarehe 05/08/2022. Taratibu na sifa zimeainishwa katika kiambatanisho hapo chini, kwa wenye sifa mnakaribishwa kuomba kozi mbalimbali.

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO CHA WANYAMAPORI PASIANSI - PWTI 2022/2023

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO CHA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI 2022/2023

BONYEZA KUPAKUA KUONA KOZI NA SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO CHA WANYAMAPORI PASIANSI