Habari
TANGAZO LA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI MWAKA 2022/2023

TANGAZO LA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2022/2023
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE), Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (TCWLE), Astashahada ya Awali ya Uongozaji Watalii na Usalama (BTCTGTS), Astashahada ya Uongozaji Watalii na Usalama (TCTGTS) kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 10 hadi 14 Oktoba 2022 kwa mafunzo ya awali ya kupima utimamu wa mwili na afya.
bonyeza kozi uliochaguliwa hapo chini ilikupata Fomu za maelekezo ya kujiunga na kozi kwa waliochaguliwa;
MAJINA YOTE YA WALIOCHAGULIWA NA CONTROL NUMBER KWA MALIPO YA AWALI YA UTHIBITISHO