Kozi za Muda Mrefu
| # | Maelezo | Muda |
|---|---|---|
| 1 | Cheti cha Uongozi Utalii na Usalama (TCTGS) | MWAKA 1 |
| 2 | Cheti cha Awali cha Uongozi Utalii na Usalama (BTCTGS) | MWAKA 1 |
| 3 | Cheti cha Uhifadhi Wanyamapori Himasheria (TCWLE) | MWAKA 1 |
| 4 | Cheti cha Awali cha Uhifadhi Wanyamapori Himasheria (BTCWLE) | MWAKA 1 |