• +255 (0)28 256 0333
Pasiansi Wildlife Training Institute (PWTI)
Year Descriptions View / Download
Apr, 2017 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2017/2018
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
TANGAZO_LA_WALIOCHAGULIWA_PWTI_2017_2018_(1)