• +255 (0)28 256 0333
Pasiansi Wildlife Training Institute (PWTI)
Year Descriptions View / Download
12
Jan, 2018 THE FIRST SEMESTER EXAMINATIONS TIME TABLE
THE FIRST SEMESTER EXAMINATIONS TIME TABLE FOR BTCWLE NO.53 AND TCWLE NO. 09
Exam_Time_Table_FOR_2018

Apr, 2017 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2017/2018
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
TANGAZO_LA_WALIOCHAGULIWA_PWTI_2017_2018_(1)

Feb, 2017 SHORT COURSE OCT 2016 - JANUARY 2017 FINAL EXAMINATION RESULTS

SC_Final_Results_(1)

Jan, 2017 FIRST SEMESTER - 2016/2017 CARRY FORWARD EXAMINATION RESULTS FOR BTCWLE

FSE_CARRY_FORWARD_RESULTS_FOR_TCWLE_07_AND_BTCWLE_51_Dec_2016

Nov, 2016 FIRST SEMESTER EXAMINATIONS TIMETABLE` 13-22, DEC 2016

First_Sem_Exam_Timetable

Nov, 2016 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO YA KOZI FUPI NAMBA 1 KWA MWAKA 2016/2017
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi Fupi ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (SCWLE) kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 05 Novemba 2016. Fomu za maelekezo ya kujiunga zitatolewa kwa wale waliochaguliwa.
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_SHORT_COURSE_SEPT_2016

Aug, 2016 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2016/2017
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 22 Agosti 2016. TAFADHALI ZINGATIA: Kwa wote waliochaguliwa kwa ufadhili binafsi ili kuthibitisha udahili na nafasi yako wanatakiwa kulipa shilingi 200,000/- ikiwa ni sehemu ya ada ifikapo tarehe 15 Agosti 2016. Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea kupoteza nafasi hiyo. Jina la muweka fedha katika fomu ya kuweka fedha benki liwe ni jina la aliyechaguliwa kujiunga na Taasisi na nakala ya fomu ya kuweka fedha benki itumwe kwa Mkuu wa Taasisi, Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, S.L.P 1432, Mwanza, Nukushi: +255-(0)282560333, Barua pepe: admission@pasiansiwildlife.ac.tz. Akaunti ya benki ya Taasisi ni Jina la Akaunti: Principal, Wildlife Training Institute, Namba ya Akaunti: 31101100029, Benki: NMB.
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_NA_PWTI_2016_2017

Jul, 2016 MATOKEO YA MTIHANI WA USAILI ULIOFANYIKA TAREHE 30 JUNI 2016
Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori inatangaza matokeo ya mtihani wa usaili uliofanyika tarehe 30 Juni 2016 Wasailiwa wote wazingatie yafuatayo: 1. Orodha ya majina ya watakaochaguliwa kujiunga na Taasisi kwa mwaka 2016/2017 itatangazwa baada ya taratibu za udahili za NACTE kukamilika. 2. Kuchaguliwa kujiunga na Taasisi kunategemea na uwezo wa Taasisi kuchukua wakurufunzi. 3. Hairuhusiwi kuingiza/kulipa ada kwenye akaunti ya Taasisi bila maelekezo toka kwa Mkuu wa Taasisi. Fedha yoyote ikilipwa bila maelekezo ya Mkuu wa Taasisi haitarudishwa.
MATOKEO_YA_MTIHANI_WA_USAILI_ULIOFANYIKA_TAREHE_30_JUNI_2016

Jul, 2016 SHORT COURSE NO:4 EXAMINATION RESULTS MACHI - JUNI 2016
YAFUATAYO NI MATOKEO YA MITIHANI YA KOZI FUPI NAMBA 4 YA MACHI-JUNI 2016, Uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kozi ndefu ya BTCWLE utazingatia ufaulu wa kiwango cha alama D kwa masomo manne ikiwemo Geography na Biology kwa masomo ya kidato cha nne na utafanywa na NACTE wenyewe, Aidha wale ambao matokeo yao hayajaonyeshwa wanadaiwa ada, hivyo wakalipe ada ndiyo waweze kuona matokeo yao.
SHORT_COURSE_RESULTS_JULY_2016(1)

Jun, 2016 TRACKING EXAMINATION RESULTS
Dear Students, the following are the examination results of TRACKING AND CRIME SCENE MANAGEMENT for both TCWLE & BTCWLE 2016. Only those who are above 50% will be awarded the certificate .Collect your certificate at Principal Secretary Office. N.B The following students will be awarded field equipment and total of 100,000/= Tsh for their best performance,. MAULID MOHAMED for BTCWLE and ADAM KALISTI, COSTANTINO BALTAZARI, and DENIS EUSEBIUS for TCWLE
RESULT_TRACKING_AND_CRIME_SCENE_MNGT_TC_2016
TRACKING_EXAM_RESULTS-BTCWLE_No._51-MAY_2016
May, 2016 SECOND SEMESTER CARRY FORWARD EXAMINATION RESULTS MAY-2016
BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN WILDLIFE MANAGEMENT AND LAW ENFORCEMENT, SECOND SEMESTER CARRY FORWARD EXAMINATION RESULTS MAY-2016
BTCWLE_CARRY_FOWARD_EXAMINATION

May, 2016 BTCWLE and TCWLE 2015/2016 SECOND SEMESTER PROVISIONAL EXAMINATIONS RESULTS.
Below are BTCWLE-51 and TCWLE-07 second semester provisional results for the year 2015/16. Click to view the results.
BASIC_TECHNICIAN_CERTIFICATE_IN_WILDLIFE_MENT_AD_LAW_ENFORCEMENT_NO._51_PROVISIONAL_EXAMINATION_RESULTS.
TCWLE_07_RESULTS_2015-2016_-_PROVISIONAL_RESULTS.
Mar, 2016 TANGAZO LA WAKURUFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KOZI FUPI MACHI 2016
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Kozi Fupi ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (SCWLE) ya Machi 2016. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 16 Machi 2016
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_SC_MACH_2016

Dec, 2015 FIRST SEMESTER - 2015/2016 PROVISIONAL EXAMINATION RESULTS
Please read and follow what is instructed here below. 1. Supplementary examinations start on 7th January 2016. Students with supplementary examinations are therefore required to report in time for the same as per the supplementary examination time table. 2. Section 4.20.1 of the Institute’s Examination Rules and Regulations requires students to pass at 50% in both Continuous Assessment and End of Semester Examinations. Students who have failed in either CA or end semester exams shall be required to take make-up tests for CA, and supplementary exams for end semester exams. 3. Students sitting supplementary examinations shall pay Tshs. 50,000 (fifty thousand only) for between one to three modules and Tshs. 100,000 (one hundred thousand only) for more than three modules. 4. Payments shall be done through the Institute’s Bank Account (Principal Wildlife Training Institute) No. 31101100029 at National Microfinance Bank (NMB) - Kenyatta Road Branch in Mwanza City and the original pay in slip submitted during registration for examination(s). 5. No student shall be allowed to sit the supplementary examinations without full payment of the supplementary examinations fees.
BTCWLE_and_TCWLE_FSE_RESULTS_2015-2016

Sep, 2015 TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI FUPI SEPTEMBA 2015
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi fupi ya miezi mitatu (3) ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (SCWLE) ya Septemba 2015:
ORODHA_YA_WALIOCHAGULIWA_KUJIUNGA_KOZI_FUPI_SEP_2015

Jul, 2015 TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2015/2016
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 01 Agosti 2015. TAFADHALI ZINGATIA: kwa wote waliochaguliwa kwa ufadhili binafsi wanatakiwa kulipa ada kama ilivyoelekezwa katika fomu ya maelekezo (joining instruction). Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea kupoteza nafasi hiyo. Jina la muweka fedha katika fomu ya kuweka fedha benki liwe ni jina la a liyechaguliwa kujiunga na Taasisi na nakala ya fomu ya kuweka fedha benki itumwe kwa Mkuu wa Taasisi, Taasisi ya Taaluma ya Wanyama pori Pasiansi, S.L.P 1432, Mwanza, Nukushi: +255-(0)282560333, Barua pepe: principal@pasiansiwildlife.ac.tz. Akaunti ya benki ya Taasisi ni Jina la Akaunti: Principal, Wildlife Training Institute, Namba ya Akaunti: 31101100029, Benki: NMB, Tawi: Kenyatta Road Mwanza. Pakua faili hapo chini uweze kuona majina ya waliochaguliwa.
ORODHA_YA_WALIOCHAGULIWA_KUJIUNGA_NA_TAASISI_2015-2016

Jul, 2015 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2015/2016
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2015/2016
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_NA_AKIBA_PWTI_2015_2016

Jul, 2015 Short Course Examination Results
The following are the Examination Results for SHORT COURSE NO:2 SEPT - DEC 2014 and SHORT COURSE NO:3 MARCH - JUNE 2015 for Basics of Wildlife Management and Law Enforcement.
RESULTS_FOR_SHORT_COURSE_MARCH_TO_JUNE_2015
RESULTS_FOR_SHORT_COURSE_SEPT_TO_DEC_2014
Jul, 2015 INTERVIEW RESULTS FOR BTCWLE No. 51, ACADEMIC YEAR 2015/2016
Dear Applicants, the following are the results of the interview exams for BTCWLE No. 51 which has been conducted on 22/07/2015 to 25/07/2015 for the Academic Year 2015/2016. Note: These are not selected names to join the Institute, those who have remark of PASS will be selected to join the Institute based on Accommodation facilities.
INTERVIEW_RESULTS_FOR_BTCWLE_No._51_FOR_ACADEMIC_YEAR_2015_2016

Feb, 2015 TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI FUPI MACHI 2015
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya miezi mitatu ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (SCWLE).
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_NA_PWTI_SHORT_COURSE_01-03-2015

Feb, 2015 FINAL FIRST SEMESTER EXAMINATION COMBINED RESULTS FOR BTCWLE 50 AND TCWLE 06
These results are final thus supersede all results posted erstwhile.
FSE_COMBINED_FINAL_RESULTS_FOR_BTCWLE_50_2014-2015_(1)
FSE_COMBINED_RESULTS_FOR_TCWLE_06_2014
Feb, 2015 Short Course Examination Results Dec 2014
This is to inform the students of short course in Basics of Wildlife Management and Law Enforcement from September to December 2014 that the certificates are ready for collection. Students collecting the certificates shall ensure the following: Write a letter addressed to the Principal requesting for the certificate Show proof of payment of all the Institute's fees by attaching copies of receipts NB: No student shall be given a certificate without compliance to the two conditions above.
SHORT_COURSE_EXAMS_RESULTS_DEC_2014_(1)

Dec, 2014 SUPPLEMENTARY EXAMINATIONS STUDENTS FOR BOTH BTCWLE AND TCWLE JANUARY 2015.
The final results for first semester examinations done in November/December 2014 are out. Continuing students are advised to check the modules they have failed and prepare for supplementary examinations that shall be done from 7th January 2015. Candidates with three modules and less shall pay Tsh 50,000/= while those with more than three modules shall pay Tsh 100,000/=. Students who sat for carry forward examinations in November/December shall get their results in due course.
TCWLE_06_STUDENTS_FOR_SUPPLEMENTANTARY_IN_JANUARY_2015
BTCWLE_50_STUDENTS_FOR_SUPPLEMENTARY_EXAMS_2015
Dec, 2014 (TCWLE) Final Results for First Semester Examinations 2014/2015
The final results for first semester examinations done in November/December 2014 are out. Continuing students are advised to check the modules they have failed and prepare for supplementary examinations that shall be done from 7th January 2015. Candidates with three modules and less shall pay Tsh 50,000/= while those with more than three modules shall pay Tsh 100,000/=. Students who sat for carry forward examinations in November/December shall get their results in due course.
FIRST_SEMESTER_RESULTS_FOR_TCWLE_06_2014

Dec, 2014 (BTCWLE) Final Results for First Semester Examinations 2014/2015
The final results for first semester examinations done in November/December 2014 are out. Continuing students are advised to check the modules they have failed and prepare for supplementary examinations that shall be done from 7th January 2015. Candidates with three modules and less shall pay Tsh 50,000/= while those with more than three modules shall pay Tsh 100,000/=. Students who sat for carry forward examinations in November/December shall get their results in due course.
FIRST_SEMESTER_RESULTS_FOR_BTCWLE_50_2014

Dec, 2014 2.Provisional Examination Results for Semester One 2014/2015

WLT_0410_BASIC_BALLISTICS_SKILLS-BTCWLE
WLT_04102_LANDSCAPE_NAVIGATION_SKILLS-BTCWLE.xla
SE-BTCWLE_RESULTS_2014
Dec, 2014 1.Provisional Examination Results for Semester One 2014/2015.
These are provisional results thus students should crosscheck their marks in time and apply for corrections where necessary. Final results will be out on 21st December 2014 and after that no corrections will be entertained.
WLT_4114_-_BASIC_COMPUTER_KNOWLEDGE_AND_COMMUNICATION_SKILLS
WLT_5106_-_WILDLIFE_UTILIZATION
WLT_04101_Basic_Ballistics_Skills
Dec, 2014 3.Provisional Examination Results for Semester One 2014/2015(Technician Certificate)
These are provisional results thus students should crosscheck their marks in time and apply for corrections where necessary. Final results will be out on 21st December 2014 and after that no corrections will be entertained.
TCWLE_WILDLIFE_UTILIZATION_CA_RESULTS_2014
WLT_04101_BASIC_BALLISTICS_SKILLS-TCWLE_(1)
Jul, 2014 Tangazo la Waliochaguliwa Kujiunga na Taasisi

Student Selections
TANGAZO_LA_KUJIUNGA_NA_PWTI

Jul, 2014 Tangazo la Waliochaguliwa Kujiunga na Masomo Mwaka 2014/2015
Tangazo la Waliochaguliwa Kujiunga na Masomo Mwaka 2014/2015
Student Selections
TANGAZO_LA_WALIOCHAGULIWA_KUJIUNGA_NA_PWTI_2014-2015

12