25
Jul
2017

TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2017/2018

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa
kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Uhifadhi Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE) na Astashahada ya Uhifadhi
Wanyamapori na Himasheria (TCWLE) kwa mwaka wa… Read More

TANGAZO_LA_WALIOCHAGULIWA_PWTI_2017-2018_