27
Jan
2016

TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO.

Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi kinatangaza nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka 2016-2017, Kwa vigezo na masharti ya kujiunga tafadhali bofya sehemu iliyoandikwa ADMISSION hapo juu kabisa kwenye ukurasa wetu. Read More

TANGAZO_MAOMBI_PASIANSI_2016-17