07
Oct
2015

TANGAZO LA KUITWA KAZINI Octoba 2015

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe
22/08/2015 hadi tarehe 16/09/2015 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo
vya kazi umekamilishwa. Read More

TANGAZO_LA_KUITWA_KAZINI_OKTOBA,_2015