06
Mar
2017

SHINDANO LA UANDISHI WA INSHA – JUNI 2017

1. Katika kuendeleza maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori – Pasiansi, Bodi ya Ushauri katika kikao chake cha 68-3 kilitoa maelekezo kuhusu kuendelea na mashindano ya michezo pamoja na uandishi wa insha kama sehemu ya maadhimisho hayo.… Read More

TANGAZO_LA_INSHA