09
Jul
2015

Sekretarieti ya ajira yatangaza nafasi za kazi zaidi ya 1,000.

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 1,101.
Nafasi hizi za kazi ni kwa ajili ya Katibu mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii na Mtendaji Mkuu Wakala wa Misitu… Read More