11
Jul
2017

Mahafali ya 52 ya Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza.

Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza leo tarehe 8/7 kimesherehekea mahafali ya 52 kwa kozi za Uhifadhi wa Wanyamapori na Himasheria kwa ngazi ya Astashahada na Astashahada ya awali. Mhe. Mgeni Rasmi Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii(MB) ameongoza sherehe… Read More