UFUNGUZI RASMI WA KOZI ZA BTCWLE NA TCWLE KWA MWAKA WA MASOMO 2016/17

Tarehe 29/8/2016 ulikuwa ni ufunguzi rasmi wa kozi za Astashahada pamoja na Astashahada ya Awali kwa kozi za usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria kwa mwaka wa masomo 2016/2017, tunawatakia mafunzo yenye utimilifu wa ujuzi, maarifa na nguvu kwa wakurufunzi wote waliopata nafasi.

Mkuu wa Taasisi, Bi. Lowaeli Damalu akitoa maneno ya ukaribisho kwa wakurunzi.

Habari katika picha,

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly