TANGAZO LA KOZI FUPI YA UPIGAJI PICHA

Watumishi wote mnatangaziwa kuwa kuna nafasi mbili “2” za kusoma kozi fupi ya siku “30” ya upigaji picha wa kitaalamu za matukio mbalimbali. Lengo kuu ikiwa ni watumishi hawa kutumika katika kuchukua picha za matukio mbalimbali ya hapa chuoni na maporini.
Watumishi ambao mnapendelea kufanya mafunzo haya mnaombwa kupeleka majina yenu masijala ya wazi kabla ya siku ya Ijumaa 14/11/2016.
Mafunzo haya yatafanyika kila siku kuanzia saa 15:00-18:00 hrs kila siku

TANGAZO_LA_SAUTI

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly