SHINDANO LA UANDISHI WA INSHA – JUNI 2017

1. Katika kuendeleza maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori – Pasiansi, Bodi ya Ushauri katika kikao chake cha 68-3 kilitoa maelekezo kuhusu kuendelea na mashindano ya michezo pamoja na uandishi wa insha kama sehemu ya maadhimisho hayo. Kwa mantiki hiyo, Taasisi iliandaa matukio mawili, ambapo shindano la michezo (bonanza) lilifanyika tarehe 28/01/2017 na shindano la uandishi wa insha kwa wanafunzi litahitimisha tarehe 01/07/2017 wakati wa sherehe za mahafari ya 52 ya Taasisi.

Bofya hapo chini kuendelea kusoma

TANGAZO_LA_INSHA

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly