Mahafali ya 52 ya Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza.

Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mwanza leo tarehe 8/7 kimesherehekea mahafali ya 52 kwa kozi za Uhifadhi wa Wanyamapori na Himasheria kwa ngazi ya Astashahada na Astashahada ya awali. Mhe. Mgeni Rasmi Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii(MB) ameongoza sherehe hizi zilizofanyika katika viwanja vya Taasisi.

Guard of Honour wakisubiri kumpokea mgeni rasmi.

Mkuu wa Chuo, Ms. Lowaeli Damalu akimpokea mgeni rasmi Mh. Prof. Jumanne Maghembe alipowasili eneo la Taasisi kwa ajili ya mahafali ya 52

Pongezi kwa Mkuu wa Chuo, Wakufunzi wote, Wakurufunzi wote(Alumnis) na wadau wote wa sekta nzima ya maliasili na utalii kwa kufika hapa tulipo. Habari zaidi katika picha

  • Mh. Mgeni Rasmi akisalimiana na wafanyakazi wa Taasisi alipowasili.

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly