22
Apr
2016

SECOND SEMESTER EXAMINATIONS TIME TABLE

Please find the Second Semester PRACTICAL EXAMINATIONS and THEORY EXAMINATIONS for the 2015/2016 BTCWLE and TCWLE courses.
Read More

Exam_Time_Table
08
Mar
2016

TANGAZO LA WAKURUFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KOZI FUPI MACHI 2016

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Kozi Fupi
ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (SCWLE) ya Machi 2016. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 16
Machi 2016 Read More

TANGAZO_LA_KUJIUNGA_SC_MACH_2016
23
Feb
2016

PASIANSI Online Student Application System,

Sasa unaweza kufanya maombi ya kujiunga na Chuo kwa kubofya link hapa chini, ni rahisi na unatumia muda mfupi kokote ulipo Tanzania au hata nje ya nchi. Kwa maelezo zaidi au msaada tuma email kwenye email yetu ya helpdesk@pasiansiwildlife.ac.tz
Read More

27
Jan
2016

TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO.

Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi kinatangaza nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka 2016-2017, Kwa vigezo na masharti ya kujiunga tafadhali bofya sehemu iliyoandikwa ADMISSION hapo juu kabisa kwenye ukurasa wetu. Read More

TANGAZO_MAOMBI_PASIANSI_2016-17
02
Jan
2016

THE TIME TABLE FOR FIRST SEMESTER SUPPLEMENTARY EXAMINATIONS (TCWLE& BTCWLE).

Careful read and follow the timetable for semester one supplementary examinations which will start on 7th day of january 2015. Read More

Supp_Exam_Time_Table
28
Nov
2015

Maadhimisho ya siku ya utalii duniani tar 25/11/2015

"WATALII BILIONI MOJA FURSA BILIONI MOJA" "ONE BILLION PEOPLE TOURIST ONE BILLION OPPORTUNITIES" Read More

07
Oct
2015

TANGAZO LA KUITWA KAZINI Octoba 2015

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe
22/08/2015 hadi tarehe 16/09/2015 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo
vya kazi umekamilishwa. Read More

TANGAZO_LA_KUITWA_KAZINI_OKTOBA,_2015
22
Aug
2015

KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III (BTCWLE and TCWLE)

Pakua tangazo hilo kisha utaona kama umebahatika kuitwa kwenye interview kwa nafasi uliyoomba. Read More

TANGAZO_KUITWA_KWENYE_USAILI_-_AGOSTI_2015
01
Aug
2015

TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2015/2016

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya
Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria
(TCWLE) kwa… Read More

ORODHA_YA_WALIOCHAGULIWA_KUJIUNGA_NA_TAASISI_2015-2016-1
09
Jul
2015

Sekretarieti ya ajira yatangaza nafasi za kazi zaidi ya 1,000.

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 1,101.
Nafasi hizi za kazi ni kwa ajili ya Katibu mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii na Mtendaji Mkuu Wakala wa Misitu… Read More