05
Aug
2016

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2016/2017

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo… Read More

TANGAZO_LA_KUJIUNGA_NA_PWTI_2016_2017
25
Jun
2016

APPLICATION FOR TECHNICIAN CERTIFICATE IN WILDLIFE MANAGEMENT AND LAW ENFORCEMENT COURSE.

Applications are now open from 23/6/2016 to 2/7/2016 for students who completed BTCWLE. Read More

17
Jun
2016

KUITWA KWENYE USAILI

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori – Pasiansi, Mwanza anawatangazia wafuatao ambao walioomba kujiunga na Kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement – BTCWLE) kuwa wanatakiwa… Read More

TANGAZO_LA_USAILI_BTC_52_JUNE_2016
16
Jun
2016

Maadhimisho ya Miaka 50 pamoja na mahafali ya 51 ya Taasisi ya Taaluma Wanyamapori Pasiansi.

Leo tarehe 15/6/2016 Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi imefikia kilele cha maadhimisho ya miaka 50 pamoja na Mahafali ya 51 ya tangu kuanzishwa kwake. Read More

10
Jun
2016

JUMA LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 TOKA TAASISI TAALUMA YA WANYAMAPORI IANZISHWE (1966-2016)

Mhe. Mkuu wa Mkoa Bw. John Mongella leo tarehe 9/6/2016 amezindua rasmi juma la maonyesho ya shughuli za Taasisi. Read More

19
May
2016

PRESENTATION PHOTOS.

The Principal of PWTI, Lowaeli Damalu (Shown on the Picture above) Presenting the Role of Pasiansi Wildlife Training Institute in addressing Wildlife Crimes in Tanzania conducted in United States of America, Department of the Interior held on 18th May 2016. Read More

22
Apr
2016

SECOND SEMESTER EXAMINATIONS TIME TABLE

Please find the Second Semester PRACTICAL EXAMINATIONS and THEORY EXAMINATIONS for the 2015/2016 BTCWLE and TCWLE courses.
Read More

Exam_Time_Table
08
Mar
2016

TANGAZO LA WAKURUFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KOZI FUPI MACHI 2016

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Kozi Fupi
ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (SCWLE) ya Machi 2016. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 16
Machi 2016 Read More

TANGAZO_LA_KUJIUNGA_SC_MACH_2016
23
Feb
2016

PASIANSI Online Student Application System,

Sasa unaweza kufanya maombi ya kujiunga na Chuo kwa kubofya link hapa chini, ni rahisi na unatumia muda mfupi kokote ulipo Tanzania au hata nje ya nchi. Kwa maelezo zaidi au msaada tuma email kwenye email yetu ya helpdesk@pasiansiwildlife.ac.tz
Read More